Kamera ya Pixel

Maoni elfu 515
Daraja la maudhui
Kila mtu
1+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Watumiaji Hushirikiana, Hushiriki Eneo
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Nasa matukio yote ukitumia Kamera ya Pixel! Piga picha na urekodi video maridadi ukitumia vipengele kama vile Fifiza, Shabaha ya Usiku, Mpito wa Muda na Kutia Ukungu Mtindo wa Sinema.

Piga picha za kuvutia
• HDR+ iliyo na Vidhibiti vya Kusawazisha Weupe na Mwanga na Mwonekano Halisi - Piga picha za kupendeza zinazoonekana halisi ukitumia HDR+, hususan katika mandhari yenye mwangaza hafifu au mandhari yaliyomulikwa kutoka nyuma.
• Shabaha ya Usiku - Kamwe hutahitaji kutumia mweko wa kamera yako tena. Shabaha ya Usiku huonyesha rangi na vipengee vyote visivyoonekana kwenye giza. Unaweza hata kupiga picha za Nyota za Kilimia ukitumia kipengele cha Upigaji picha za anga!
• Upigaji Mahiri - Furahia tukio wakati kamera yako inalirekodi. Gusa tu ili uanze na Pixel yako itakurekodia video na kukupigia picha za ubora wa juu.
• Mitindo ya Kamera - Weka Kamera iwe upendavyo ukitumia mitindo tofauti ya upigaji picha ili picha zionekane jinsi unapenda
• Kitovu cha Utayarishaji - Ni rahisi kutayarisha maudhui ya video ukitumia teleprompta iliyojumuishwa, folda za mradi, kiboresha sauti na video cha ukaguzi wa maikrofoni na mengineyo
• Kiratibu cha Upigaji Picha - Pata mapendekezo na mwongozo kwa usaidizi wa mifumo ya Gemini ili upige picha bora
• Picha Bora Kiotomatiki - Nasa tukio ambapo marafiki zako wote wanaonekana vizuri.
• Ukuzaji Madhubuti - Sogeza karibu vitu vilivyo mbali. Kipengele cha Ukuzaji Madhubuti huboresha picha zako unapovuta karibu.
• Ukuzaji wa Kitaalamu - Kuza hadi mara 120, unaoendeshwa na mfumo ulioboreshwa wa picha za AI
• Niongeze - Shirikisha kikundi kizima kwenye picha zako, hata mtu anayepiga picha
• Ukungu Kwenye Maudhui - Weka ukungu bunifu kwenye vipengee vinavyojongea katika tukio
• Kunasa Mwendo - Weka ukungu bunifu kwenye mandharinyuma huku ukiendelea kuangazia kipengee chako
• Ulengaji wa Karibu - Rangi angavu na utofautishaji wa kipekee hata kwenye vipengee vidogo zaidi
• Udhibiti wa Magwiji - Pata mipangilio ya kina ya kamera kama vile kasi ya kufunga kilango cha kamera, ISO na zaidi

Video bora kila unaporekodi
• Rekodi video za usahihi wa hali ya juu katika ubora wa aina yake na sauti dhahiri, hata katika maeneo yenye watu wengi
• Kuboresha Video - Pata video zenye mwangaza, rangi na vipengee bora
• Video katika Mwanga wa Usiku - Furahia tena tukio hilo bora, hata usiku
• Fifiza - Weka mtindo wa kisinema kwenye video kwa kutia ukungu mandharinyuma ya kipengee chako
• Kunasa Sinema - Punguza kasi ya mwendo wa kamera yako
• Video ya Haraka - Piga video za kawaida na za haraka kwa kubonyeza kwa muda mrefu kitufe cha kufunga kilango cha kamera ukiwa katika hali chaguomsingi ya kupiga picha

Masharti - Toleo jipya kabisa la Kamera ya Pixel hufanya kazi tu kwenye vifaa vya Pixel vinavyotumia Android 17 na matoleo mapya zaidi. Toleo jipya kabisa la Kamera ya Pixel kwenye Wear OS linafanya kazi tu katika vifaa vinavyotumia toleo la Wear OS 5.1 (na matoleo mapya zaidi) vilivyounganishwa na simu za Pixel. Baadhi ya vipengele havipatikani kwenye vifaa vyote.
Programu ya Kamera kwenye Pixel
Ilisasishwa tarehe
12 Okt 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
    Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Data haiwezi kufutwa
  • Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

Maoni elfu 492
Ari Stidy
25 Septemba 2026
👍
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

Familia ya Pixel 11:
• Upigaji Mahiri - Furahia tukio kamera yako ikirekodi. Pixel inakupa video na picha za ubora wa juu.
• Mitindo ya Kamera - Weka Kamera iwe upendavyo kwa Mionekano tofauti ya picha
• Kitovu cha Utayarishaji - Tayarisha video ukiwa na teleprompta, folda za miradi n.k

11 Pro na Pro XL:
• Ukuzaji wa Kitaalamu - Hadi mara 120
• Picha za Usiku Haraka - Picha bomba katika mwanga hafifu, papo hapo
• Video Thabiti Kitaalamu - Video yenye madoido ya kisinema, licha ya hali